79 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 23 Sep 2026
6:43
Ugumu wa kuishi na majirani ni jambo linaloweza kutokea wakati wowote. Katika kisa hiki, ugomvi kuhusu kamba ya nguo ulizua mzozo, hadi jirani mmoja kumwagia mwenzake maji machafu kwenye nguo zilizokuwa zimetundikwa.