769 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Sep 2026
36:15
Wamuthende anatoa mtazamo wake kuhusu nafasi ya Edwin Sifuna katika siasa za Kenya, akimuelezea kama “moto wa karatasi.” Anafafanua sababu za kauli hiyo na mtazamo wake kuhusu ushawishi wa Sifuna katika siasa za sasa.