138 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Sep 2026
3:47
Sammy Ngotho anaeleza mtazamo wake kuhusu mwelekeo wa kisiasa wa watu wa Mlima, akisema huenda wakaunga mkono upande wa upinzani katika uchaguzi ujao. Anazungumzia sababu zinazoweza kuchochea mabadiliko hayo pamoja na siasa za eneo hilo.