
723 views
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amesema kuwa Raila Odinga alishinda uchaguzi wa mwaka 2022, kauli ambayo imeibua mjadala kuhusu matokeo ya uchaguzi huo. Sikiliza mjadala na mitazamo tofauti kuhusu kauli hiyo na athari zake katika siasa za Kenya.