184 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Sep 2026
5:29
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amefufua mjadala kuhusu uchaguzi wa 2022, akisema Raila Odinga ndiye aliyeshinda. Kauli hiyo imezua majibu kutoka kwa washirika wa Rais William Ruto.