29 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 23 Sep 2026
5:12
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya FKF (NEC) wanataka hatua za haraka kuchukuliwa ili kumaliza mkwamo unaozunguka kuanza kwa msimu wa 2026/27. Sikiliza wanachosema kuhusu hali ya soka nchini na hatua zinazohitajika ili msimu mpya uanze.