30 views
Radio Maisha Staraabika on Radio Maisha
Aired 22 Sep 2026
8:08
Je, muumini anapaswa kujitunza na kutimiza mahitaji yake kwanza kabla ya kutoa sadaka kanisani? Mjadala huu unaangazia mtazamo wa mchungaji anayesema mahitaji ya msingi hayapaswi kupuuzwa wakati wa kutoa.