
612 views
Vincent Kemosi Mogaka anatoa mtazamo wake kuhusu uwezekano wa Rais William Ruto kutafuta muhula wa pili mwaka 2027, akisema hata akikutana na Yesu Kristo hawezi kupata muhula huo. Kauli hiyo inakuja huku kampeni za kisiasa kuelekea 2027 zikizidi kushika kasi.