
74 views
Vincent Kemosi Mogaka anazungumzia siasa za Kenya na uhusiano kati ya serikali na upinzani, akidai kuwa lengo la Rais William Ruto ni kusambaratisha upinzani. Katika mazungumzo haya, anatoa mtazamo wake kuhusu mwelekeo wa siasa kuelekea uchaguzi wa 2027