111 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 22 Sep 2026
11:57
Mwenyekiti wa Jubilee Party, Vincent Kemosi Mogaka, anazungumzia hali ya chama na mwelekeo wake kuelekea 2027. Kemosi anasema uongozi wa chama uko imara na unaendelea kuimarisha mshikamano wa wanachama.