358 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 22 Sep 2026
9:14
Churchill Amatha anachambua nafasi ya Edwin Sifuna katika siasa za kuelekea 2027, akisema ana nafasi kubwa ya kuwania urais. Mazungumzo haya yanaangazia pia mwelekeo wa Linda Mwananchi na siasa za upinzani