128 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 22 Sep 2026
8:19
Churchill Amatha anachambua hali ya kisiasa nchini, akisema kundi la Linda Mwananchi bado linatafuta mwelekeo wa kufuata. Katika mazungumzo haya, anazungumzia pia siasa za sasa, uongozi na matarajio kuelekea uchaguzi wa 2027.