
90 views
Uamuzi wa Mahakama Kuu umetangaza kuwa sheria iliyowazuia marais wastaafu kushikilia nyadhifa katika vyama vya kisiasa ni kinyume cha Katiba. Uamuzi huo unamgusa moja kwa moja Rais wa zamani Uhuru Kenyatta, ambaye amekuwa akihusishwa na siasa tangu alipostaafu mwaka 2022.