45 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 21 Sep 2026
2:15
Leo ni Respect the Lender Day .Ulikopa kwa nani, na bado unadaiwa? Leo ni siku ya kumkumbuka anayekukopesha na ikiwezekana, kumlipa! Wewe ukikopa, huwa unalipa kwa wakati ama lender anakufuatilia?