141 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 21 Sep 2026
2:46
Maana yake ni kwamba mahakama imeeleza kuwa kustaafu urais hakumzuii Uhuru Kenyatta kushiriki shughuli za kisiasa, kwa mujibu wa haki na masharti yanayotambuliwa na sheria.