47 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 21 Sep 2026
8:33
Mwenda Thuranira anashauri watu kuepuka kutumia njia za mkato katika ujenzi. Anasisitiza umuhimu wa kufuata viwango, taratibu na kutumia wataalamu ili kuhakikisha majengo yanakuwa salama na yenye ubora.