
52 views
Mwenda Thuranira anaangazia changamoto zinazowakabili wawekezaji katika sekta ya real estate, akitaja mchakato wa kupata approvals kutoka kwa serikali.Anazungumzia pia namna taratibu za uidhinishaji zinavyoweza kuathiri miradi ya ujenzi na uwekezaji.