25 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 21 Sep 2026
8:33
Ikiwa mtu wa familia yenu angeacha ombi la mwili wake kuchomwa baada ya kifo, ungeunga mkono matakwa yake au ungepinga? Tushirikishe mtazamo wako kuhusu heshima kwa matakwa ya marehemu, mila za familia na imani za kidini.