281 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 21 Sep 2026
11:30
Katika mahojiano haya, Gachoka anaeleza msimamo wake kuhusu uhusiano wa kisiasa unaodaiwa kuwepo kati ya Ruto na Gideon Moi, pamoja na mjadala unaoendelea kuhusu mwelekeo wa siasa kuelekea uchaguzi wa 2027.