
35 views
Sh5T Blind Spot inachunguza jinsi mabilioni ya shilingi za fedha za serikali yanavyoweza kutumika kupitia mifumo yenye mapungufu ya usimamizi na uwajibikaji. Katika kipindi hiki, tunaeleza fedha hizi zinatoka wapi, zinapitaje kwenye mifumo ya serikali, ni maeneo gani yanayoweza kuwa na mianya ya udhibiti, na kwa nini ukosefu wa usimamizi wa kutosha unaweza kuathiri matumizi bora ya fedha za umma.