62 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 18 Sep 2026
13:13
Machabe ambaye alikuwa meneja wa simple boy ajitokeza na kuomba msamaha kwa Stivo Simple Boy.Awali alikua ameleta madai kwamba alikuwa na uhusiano wa mapenzi na mke wa simple boy na kusema pia alimpachika ujauzito.