
70 views
Dr. Brian Aberi anaeleza kuhusu H. pylori na jinsi mtu anavyoweza kuwa na bakteria hao tumboni bila kuonyesha dalili zozote. Katika mazungumzo haya, tunafahamu zaidi kuhusu H. pylori, dalili zinazoweza kujitokeza, umuhimu wa kupima na hatua za kuchukua iwapo maambukizi yatagunduliwa.