
25 views
Kuna watu huonekana kama marafiki wa kawaida unapokuwa ukifurahia kinywaji, lakini je, unaweza kuwaamini kabisa? Katika stori hii, tunazungumzia tahadhari za kuchukua unapokunywa na watu usiowafahamu vizuri, ili usije ukajikuta kwenye hali usiyoitarajia