74 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 18 Sep 2026
10:38
Upato wa usanii si mkubwa kama watu wengi wanavyofikiria. Anazungumzia hali halisi ya maisha ya wasanii, changamoto wanazokutana nazo na tofauti kati ya tasnia inavyoonekana kwa nje na uhalisia wake.