
297 views
Rais William Ruto ameendelea kumkosoa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, akimtuhumu kujihusisha na siasa za upinzani na kujaribu kudhoofisha serikali yake. Kauli hizi zinaashiria nini kuhusu uhusiano wao wa kisiasa na mwelekeo wa siasa kuelekea 2027?