
36 views
Waandishi wa habari wa Ulaya wameibua wasiwasi kuhusu Kenya kuandaa Mashindano ya Dunia ya Riadha 2029, wakitaja changamoto za matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku katika michezo. Kauli hiyo imezua mjadala kuhusu uwezo wa Kenya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo makubwa na namna taifa linavyokabiliana na suala la doping.