45 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 15 Sep 2026
14:24
Host: Christine Kambua Deni za familia zinafaa kugawanywa na kulipwa na wanandoa kwa usawa. Lakini je, ni kila deni linalochukuliwa kuwa jukumu la wote? Fuatilia maelezo ya kisheria kuhusu wajibu wa wanandoa katika madeni ya familia.