12,717 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 15 Sep 2026
46:07
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Gloria Orwoba anaeleza kuhusu nafasi ya wanawake katika siasa, huku akizungumzia mwenendo wa siasa nchini Kenya na kauli za viongozi mbalimbali. Producer: Shirley & Brenda