
284 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Gloria Orwoba amemshutumu Hassan Omar akimtaja kama “mkora wa siasa”, akidai kwamba alikuwa akitumiwa pesa na Rais William Ruto, lakini badala ya kuzitumia kisiasa, alikuwa akiziweka nyumbani kwake. Producer: Shirley & Brenda