147 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 15 Sep 2026
10:04
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Gloria Orwoba amesema Kenya haiwezi kumaliza siasa za kikabila, akidai kuwa ukabila ni sehemu ya nguvu ya Wakenya na una nafasi katika siasa za nchi. Producer: Shirley & Brenda