340 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 15 Sep 2026
14:51
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Gloria Orwoba amekosoa wanaosema watampigia kura Rais William Ruto kutokana na maendeleo, akidai kuwa mtazamo huo unaonyesha kutokuwa na uelewa wa masuala ya uongozi na siasa. Producer: Shirley & Brenda