
927 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Gabriel Kagombe anaeleza msimamo wake kuhusu matamshi ya viongozi anayoyaona kuwa mabaya, huku akitoa maoni yake kuhusu hali ya siasa nchini na mwelekeo wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu. Producer: Shirley & Brenda