
94 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Kagombe anasema matamshi ya Hassan Omar kuhusu alama za vidole za marehemu ni ya kushtua watu tu, akisisitiza kuwa viongozi wanapaswa kuwa makini na kauli zao, hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu. Producer: Shirley & Brenda