
190 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Rais William Ruto aliidhinisha kubadilishwa kwa jina la Talanta Stadium kuwa Raila Odinga International Stadium, kwa heshima ya Hayati Raila Odinga. Huku pia, Leeds waliibuka na ushindi mkubwa dhidi ya Newcastle, baada ya kuwafunga 4 -1. Producer: Shirley & Brenda