
36 views
Host: Amani Aila Alitekwa nyara na kupigwa, lakini Mungu hakumwacha. Katika hali hiyo ngumu, Mungu alimtengenezea njia kwa kumkutanisha na watu waliomsaidia kuokoa maisha yake na kumfikisha hospitalini. Hakika Mungu ni mwema na mwaminifu! Producer: Mercy Shirley