
20 views
Host: Christine Kambua Watu wa Kitui, mmeamua kuanikana jamani! Wamama wanaowinda vijana wadogo na mabwana wanaofuatilia wasichana wadogo.. Lakini swali ni: Je, hii ni idea nzuri ama itasambaratisha ndoa? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura