680 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 14 Sep 2026
41:34
Patrick Makau anazungumzia uhalisia wa siasa, akisema kuwa usaliti ni sehemu ya mchezo wa kisiasa. Je, usaliti katika siasa huonekanaje, na huathirije mahusiano, ushirikiano na uongozi?