93 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 14 Sep 2026
13:18
Patrick Makau anahoji jukumu la EACC huku akizungumzia madai ya wizi na ufisadi katika Kaunti ya Machakos. Anataka kujua EACC inafanya kazi gani wakati tuhuma kama hizi zinaendelea.