129 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 14 Sep 2026
14:57
Patrick Makau anazua mjadala kuhusu chanzo cha vurugu nchini, akidai huenda baadhi ya matukio yanapangwa na serikali. Je, madai haya yana msingi, na nani anapaswa kuwajibika? Tazama mjadala mzima na utoe maoni yako.