
95,214 views
3 Jun 2013
Mo Faya by Abbas Kubaff Lyrics yeah Abbas Abbas Kubaff, Shadi Mo na Hiram, CLD mzeya nime-come tena mzeya nime-come tena K-South sawa basi, twende kazi Chorus (CLD) Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Verse 1 (CLD) I see the smoke pass outta the window me give a puff fi me next door neighbour hello Miss Brown me need more stock now hello Miss Brown me need more stock now I see the smoke pass outta the window me give a puff fi me next door neighbour hello Miss Brown me need more stock now hello Miss Brown me need more stock now Chorus (CLD) Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Verse 2 (Abbas Kubaff) yeah wajua hii ni ngoma gani mazee ka unajua jina Abbas Abbas DOOBIEZM, you know how I do Doobie Doobie Doobie Doobie nina Indian kush na chupa ya Pushkin niko pushed in kwa jacket ndani kisha kush kush na-burn bush kama Moses na George Bush nikisanifu magush mi upee dush! niko bila booze niki-spit kwa booth niko na kapyenga ndani ya booth kama spares ndani ya boot mzeya niko na zingine kwa boots Chorus (CLD) Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Verse 3 (Abbas Kubaff) ka uko home umeboeeeka na mood ziko down si ungechekicheki around piga ma-round fika downtown kwa Miss Brown ucheki mazee zile za pound zile zina fanya vichwa zina dow bown I mean bow down ushatupa mbao wale K-Thous jo achana nao wako zao e-yo ambia makarao mi sina kerea mkifikiria mtaniingilia mkifikiria ati mic ntawachilia ooh, nashikilia ka boobs kwa sindilia ka unashangilia Abbas kumalizia eh, mnamezea hii ni ya wazeiya wasee, masensei hii ni ya wazeiya, ah-ah wazeiya Chorus (CLD) Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Tunablaz-e mo fire, mo fire, mo fire, mo fire, kila mmoja ana yake mazee ngoma imeshika sasa haree Outro (Abbas Kubaff) Mazee wazeiya jo poleni nimechelewa kidogo traffic ya ma MCs kibao si unajua tu vile industry inakuwanga mazee vile nimefika hapa jo ni Mungu anajua jo mi namshukuru mazee chupa ya hii MM ni ya Hiram saa hii ni beat gani mazee, wazeiya wa K-South, Westie wa Eastie, Dandora, U-K Double O wasee wa ziwa waziwazi Coasto mambo vipi, wasee wa bongo TZ matizi na manyamuzi Abbas tosha gari
Abbas Kubaff feat Feyizo
Abbas Kubaff feat Harry K. and Kelma