
14,776 views
3 Jun 2013
Kariobangi South by Abbas Kubaff, as featured on the album Mister Abbas Lyrics sasa hizi mashida nazi-kiss goodbye ka nywele za Sisqo mi najidai niko ndani ya disco, niko high hapa nina Mrs., hapa divai wapi ile change yangu waiter anadai beshte yangu amebleki kwa ndai (amebleki kwa ndai, amebleki kwa ndai) wacha niishie, ntapitia baadaye Chiwawa niaje mzae umepotea, mazee iz how nadhania ni karibu ni bibi azae siku hizi itabidi mifuko zijae tujaze jaze zote walai bilai tununue ma-toys, tuskume mandai mkuje home kwangu, mkeja ya mine Chorus Kariobangi, Kariobangi South wanasema ni Abbas Kubaff anaitwa Abbas Kubaff kwa jina ni Abbas Kubaff Kariobangi, Kariobangi South wanasema ni Abbas Kubaff anaitwa Abbas Kubaff kwa jina ni Abbas Kubaff Kariobangi, Kariobangi South Verse 2 nimetoka kule Kariobangi nikitoa digaga cheki rangi unadhania nimefanya dhambi sina nywele, ni kipara ka Ghandi njaro zangu utadhania ni bandi skizeni vako za kulalanga Jeevanjee juu bila kazi inamaanisha simangi ka amesota inamaanisha hakanji mara niko kwenye show na Kanjii jeans nime-sag chini na nakaa G... nawapaka kama Peter marangi namanga dimanga za Budalangi nafanya wana-move kama Range ya landi nafunga ka Maradona aki-touch na handi Chorus Kariobangi, Kariobangi South wanasema ni Abbas Kubaff anaitwa Abbas Kubaff kwa jina ni Abbas Kubaff Kariobangi, Kariobangi South wanasema ni Abbas Kubaff anaitwa Abbas Kubaff kwa jina ni Abbas Kubaff Kariobangi, Kariobangi South Verse 3 bado naimba kama ndugu ya Ambi buda sasa tutaweka vitambi tulimanga kama chali ya Tande bonge la tumbo utadhania tanki picha langu kwa gazeti ya Sunday ati bado mi huwanga naletanga Monday wakicheza nawakata vipande ebu cheki jina kwenye kipande watajuaje mi naitwangaje (wanasema ni Abbas Kubaff, Kariobangi) hawajui nimetoka wapi Chorus Kariobangi, Kariobangi South wanasema ni Abbas Kubaff anaitwa Abbas Kubaff kwa jina ni Abbas Kubaff Kariobangi, Kariobangi South wanasema ni Abbas Kubaff anaitwa Abbas Kubaff kwa jina ni Abbas Kubaff
Abbas Kubaff feat Feyizo
Abbas Kubaff feat Harry K. and Kelma