
7,783 views
3 Jun 2013
KEREA by Abbas Kubaff Lyrics Intro wale wame-freez-iwa juu ya ID nafikiria (yeah!) nili-spark hii rap ka Biz Markie nika-lock down industry na master keys na-shine kama bling bling za Mr. T mi staki kubo wadhii basi nawapa kitu wanaweza kuskiza ii naweza flow faster ama ki-sparky shati ishapigwa a pasi jeans za mine zimejikunja kidogo lakini si-mind dame wa mine ana figure namba nine minus one mazee bonge la eight nikaingia kwa ndai now we on our way kufika club nje nakuta line wengine waki-take time waki-time time ati watu wa-come wengine wanani-time mi sina time na-step inside mzeiya mazee jo, pengine baadaye, aaaight! Chorus tume-come si tuko masaa juu ya kerea, ta-tararara para-parap wasup wasuup si basi basi tukae masaa vile tume-come tuko masaa juu ya kerea ta-tararara para parap wasup wasuup Verse 2 kufika club nikaigiza ma-drinks na ma-stick za mshikaki me and my chick na ka six buddies madam nikamkamatia ice na glass double scotch on the rocks na ____ DJ aki-mix na styles za Code Red na-feel beat kama Pinye (zangu zieke) na phase times za DJ Loop na funk ya Red Room engineer ako iller than a sick disease hii weekendi tume-blow kitu sixty Gs mki-rave na kusikia hii CD tukatoa video pia na DVD ukifika kwenye club utaskiza hii ka uko kerea na unasherekea mzeiya endelea sema yeah ka uko kerea na unasherekea mzeiya endelea sema yeah Chorus tume-come si tuko masaa juu ya kerea, ta-tararara para-parap wasup wasuup si basi basi tukae masaa vile tume-come tuko masaa juu ya kerea ta-tararara para parap wasup wasuup Verse 3 DJ wekelea kerea haree ikaendelea yeah nje kumeshona wee wapi n'ingilia ndani kumejaa tafuta kwa kushikilia wale wame-freez-iwa juu ya ID nafikiria cheki cheki vile dame ameng'aria top nasindilia ye m'ingilia unaweza perembwa ndani ukisinzia kwa club unakindiwa simu za bandia wengine sitakaribia juu wanataka tu kunywa bia na ukishawaagizia na kuwagharamia watakuharamia na watakuul'za shilling mia wale wana beef si watakushambulia wengine wana-time uanze... watashangilia ah ah sitaingilia nasimama kando tu nikiwaangalia ama wacha nikae see you baadaye naingia kwa ndai na nika... Chorus tume-come si tuko masaa juu ya kerea, ta-tararara para-parap wasup wasuup si basi basi tukae masaa vile tume-come tuko masaa juu ya kerea ta-tararara para parap wasup wasuup
Abbas Kubaff feat Feyizo
Abbas Kubaff feat Harry K. and Kelma