66 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 11 Sep 2026
24:38
Host: Christine Kambua Dr. David Watta anaeleza kwa nini wanaume wa asili ya Afrika wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya tezi dume, pamoja na umuhimu wa uchunguzi wa mapema. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura