
13 views
Host: Christine Kambua Kuna video inasambaa mitandaoni ya dada mmoja aliyefariki kwa kujitoa uhai, mwili wake ukapatikana karibu mwezi mmoja baadaye. Lakini swali ni, kwa muda wote huo, kwani hakuna rafiki wala mwanafamilia aliyekuwa na wasiwasi? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura