
32 views
Tajezo anasimulia jinsi alivyokumbatia muziki kama njia ya kutafuta matumaini maishani wakati alipokuwa akiishi na changamoto za epilepsy. Safari yake inaonyesha nguvu ya muziki katika kumpa mtu tumaini, nguvu na sababu ya kuendelea kusonga mbele.