216 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 11 Sep 2026
24:14
Karibu katika kipindi cha Kenya Leo, ukiwa na Chris Kimuyaya na Suleiman Yeri. Katika kipindi cha leo, tunaangazia kauli chachu za Rais. Leo tumejaliwa kuwa na wageni wetu, Evans Kimori na Sammy Ndago. Usikose kututegea! #KenyaLeo