
25 views
Host: Amani Aila 2 Wakorintho 3:17 - Usikubali hofu, changamoto au hali unayopitia ikufanye usahau kwamba Mungu yuko pamoja nawe. Mkabidhi kila jambo, endelea kumtumaini, na tembea katika uhuru ambao Roho wa Bwana anakupa. Producer: Mercy Shirley