
145,234 views
3 Jun 2013
Chapaa by Kenyan hip-hop star Abbas Kubaff Lyrics Mi nalike chapaa vile we u-like chapaa (yeah) Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar (round hii niko serious) (Tshazi twende kazi, ye-ye-ye-yeah) Verse 1 Doobeez ni mchizi mi ni msanii toka C-vo Sisikiki sishikiki stishiki na vitisho Naenda job na jeans juu nimevalia t-sho Na tangu kitambo mi huwa, hivo-hivo MC’s wana ji-do kumbe hawan hata dough Dough zimefanya ati watu mapembe hata flow Traffic haijambamba mzeya, basi Mbona enda slow? Nairobi ukisleki basi jo utakuta doorUtakutwa na mtu tisa ukitoka Carnovore Ngoma kwenye kichwa mzeya, eti juu Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar! Chorus Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa Beba bass Tsahzi, lemme get round Verse 2 Nafika coast ku-cruise, ndani ya 4 by 4 Naenda kupiga show, CDs marker na soo Mfuko nimesota maze jo niko na soo Lakini haina noma, hope mzeya niko po-a Seti hii kwa player juu kapuka imenibo Tshazi twende kazi wacha jo niwapeleke slow Wacha niwa-show jinsi ya kumake dough Stage nikifika nipe mbili za vodo Oh-oh-oh cheki ma-fovo Cheki hizo macho jo mzeya nipige show Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar Chorus Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa Beba bass Tsahzi, lemme get round Bridge Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa Ni kama sina chapaa (We umesota!) Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa Hawezi kuwa star (Abbas umesota!) Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa Ni kama sina chapaa (We umesota!) Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa Hawezi kuwa star (Abbas umesota!) Chorus Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa Beba bass Tshazi, lemme get round
Abbas Kubaff feat Feyizo
Abbas Kubaff feat Harry K. and Kelma