218 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 10 Sep 2026
4:39
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Aisha anasimulia kwa uchungu jinsi maisha yake yalivyobadilika baada ya kupata mtoto akiwa Form 3, huku baba yake akiamua kumtelekeza. Ni simulizi ya changamoto, malezi na safari yake ya maisha.