
26 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Je, wanaume wa Kenya ni wavivu na broke kweli, au kuna nini kinaendelea? Mwanamke mmoja amesema afadhali abaki single kuliko kuolewa na mwanaume Mkenya, akidai wengi ni broke na wavivu. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura